Ijumaa, 18 Novemba 2016



simba na yanga itakuwa ni kama ndoto kutumia uwanjwa huu wa taifa 
labda tusubilie round ya pili ya mzunguko wa ligi kuu tanzania bara

Jumanne, 15 Novemba 2016



ni moja ya jitihada za serikali ya awamu ya tano chini ya Rais JOHN POMBE MAGUFURI katika hatua za kuimalisha usafiri wa ndani ya nchi na nje ya nchi kwa wasafiri.