Jumapili, 12 Februari 2017

Kongamano la 2 kati ya ujerumani na Africa

Kongano la pili na biashara kati ya Ujerumani na nchi za Afrika limemalizika leo mjini Nairobi huku Ujerumani ikiahidi kuwekeza takriban Euro Milioni 252 kusini mwa Jangwa la Sahara. Zaidi ya wawekezaji 200 kutoka Ujerumani wamehudhuria kongamano hilo wakiwa na matumaini ya kubuni ushirikiano wa kibishara na kampuni za Afrika.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni